Wanavyuo waaswa kushiriki ununuzi wa hisa
Idadi ya mauzo katika Soko la Hisa la Dar es Salaam DSE yamepanda kwa asilimia 23 kutoka shilingi bilioni 4.9 hadi shilingi bilioni 5.5 kwa mujibu wa taarifa za mauzo sokoni hapo katika kipindi cha juma moja lililopita.