Kesi ya Malkia wa Pembe za Ndovu yahairishwa tena
Kesi inayomkabili raia wa China ajulikanaye kwa jina la Yang Feng Glan maaarufu kama Malkia wa Pembe za Ndovu, anayekabiliwa na mashitaka ya kufanya biashara haramu pembe za ndovu imeahirishwa tena hii leo