Dkt.Tizeba awatimu wakurugenzi watano

Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi Dkt. Charles Tizeba,

Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi Dkt. Charles Tizeba, amewasimamisha kazi wakurugenzi watano wa idara tofauti katika wizara hiyo kutokana na udhaifu katika utendaji wao wa kazi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS