Kambi nje ya nchi itatupa ushindi Olimpiki - TSA
Chama cha mchezo wa kuogelea nchini (TSA) kimesema,kitaweka kambi nje ya nchi kwa ajili ya maandalizi ya mshindano ya Olimpiki yatakayofanyika Agosti mwaka huu nchini Brazili itasaidia timu kuiwakilisha nchi vizuri katika mashindano hayo.

