Yanga yawanasa beki wa Mtibwa na kipa wa Prisons

Aliyekuwa kipa wa Prisons ambaye sasa ni Kipa wa Yanga, Beno David Kakolanya

Klabu ya Yanga imewanasa Kipa wa Tanzania Prisons aliyekuwa akitakiwa na Klabu ya Simba Benno Kakolanya na beki wa Mtibwa Sugar Andrew Vincent 'Dante'.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS