Auawa kwa wizi wa kuku Sengerema
Mtu mmoja mwanaume ambaye anakadiriwa kuwa na umri wa miaka 35 mpaka 40 jina halijafahamika, ameuawa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali kichwani na kupigwa hadi kufa na wananchi wenye hasira baada yakumkamata akifanya kitendo cha wizi wa kuku 7

