Mazungumzo ya amani Burundi yamalizika Arusha
Mazungumzo ya kutafuta amani katika mgogoro wa Burundi yamemaliza mjini Arusha chini ya usimamizi wa raisi mstaafu wa Tanzania mh Benjamini Mkapa licha ya kuelezwa kuwapo na dosara zilizo pelekea baadhi ya washiriki kutoshiriki.
