Haikubaliki wabunge kula posho bila kazi-Dkt.Tulia
Naibu Dkt. Spika Tulia Ackson amesema ipo haja ya kurekebisha sheria na kanuni za uendeshaji wa bunge kwa lengo la kuhakikisha kuwa kila mbunge analipwa posho baada ya kutekeleza majukumu yake ipasavyo kuliko ilivyo sasa.