Jeshi la Polisi lapongezwa kudhibiti Ujambazi

Mkuu wa mkoa wa Mbeya Amos Makalla

Serikali mkoani Mbeya imelipongeza jeshi la polisi mkoani Mbeya kwa kuweza kudhibiti tukio la ujambazi lililokuwa lifanyike Julai 11 mwaka huu wilayani Rungwe na pia kuua majambazi wawili na kukamata bunduki zao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS