Wabunge hawajui dhana ya Ugatuaji Madaraka
Serikali imesema kuwa kutokana na baadhi ya wabunge wengi na baadhi ya viongozi wa kiserikali kutokuwa na uelewa juu ya sera ya ugatuaji madaraka wataanda semina kwa ajili ya wabunge wote ili kutoa elimu na kuondoa migongano ya kiutawala.