Wajitokeza kuimarisha ulinzi shirikishi Arusha
Wananchi wa kata ya Moivaro tarafa ya Suye halmashauri ya jiji la Arusha wameamua kujitokeza kupinga uhalifu kwa kuanzisha vikundi vinne vya ulinzi shirikishi kutoka mitaa ya Ngurumausi, Oldonyommasi, Moivaro Kati na Shangarao.
