Stephen Curry ajitoa Olimpiki ya Rio 2016 Mchezaji wa Ligi ya NBA, Stephen Curry. Mchezaji bora wa ligi ya mpira wa kikapu nchini Marekani NBA, Stephen Curry, amesema hatokuwamo katika kikosi cha Marekani kwenye michuano ya Olimpiki mjini Rio, Brazil, mwezi Agosti mwaka huu. Read more about Stephen Curry ajitoa Olimpiki ya Rio 2016