Mtwara washerehekea Iddi, kuchangia damu Wachangiaji damu (Picha na Maktaba) Katika Sherehe ya Iddi el Fitri iliyoasharia kuisha kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani Dunia kote waumini wa Dini ya Kiislam Mkoani Mtwara wamesheherekea sikukuu hiyo kwa kuchangia damu. Read more about Mtwara washerehekea Iddi, kuchangia damu