Cyril kuhusu collabo na Raymond, na kauli ya Salam Msanii Cyril kamikaze amefafanua mtafaruku uliojitokeza kati yake na uongozi wa WCB, baada ya kutoa wimbo aliomshirikisha Raymond na uongozi wake kusema hautambui collabo hiyo. Read more about Cyril kuhusu collabo na Raymond, na kauli ya Salam