Sheria ya mitandao imepunguza matukio ya uchochezi
Naibu Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Edwin Ngonyani amesema kwamba kuanzia kuanza kutumia kwa sheria ya mitandao ya mwaka 2015 kumesaidia sana kupunguza uchochezi na picha zisizofaa kwenye mitandao.