Kampuni za simu zatakiwa kupeleka huduma vijijini.
Waziri wa ujenzi ,uchukuzi na Mwasiliano Prof Makame Mbarawa ametoa mwezi mmoja kwa kampuni za simu nchini zilizoingia makubaliano na serikali kupeleka huduma za mawasiliano vijijini kukamilisha kazi hiyo vinginevyo watachukua hatua kali za kisheria.