Jukwaa la uwezeshaji wanawake kiuchumi lazinduliwa
Serikali ya Tanzania imeanzisha Jukwaa la uwezeshaji wanawake kiuchumi ambao utaratibu mazingira na shuguli za uzalishaji mali zinazofanywa na wanawake ili kuhakikisha dira ya kimataifa ya maendeleo endelevu ya usawa wa kijinsia na uwezeshaji wanawak