Serikali kusambaza maji Morogoro Mjini -Kamwele

Naibu Waziri wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji Isack Kamwele amesema Bungeni Dodoma kwamba serikali imetenga zaidi ya bilioni 4 ili kusambaza maji katika jimbo la Morogoro Mjini katika kipindi cha fedha 2016 & 2017.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS