Waumini wakiwa katika Msikiti wa Ghadafi Mkoani Dodoma (Picha na Maktaba).
Waumini wa Dini wa Kiislam Mkoani Dodoma, wamehimizwa kutoa zaka na kulipa kodi ili kuirahishia serikali pamoja na taasisi za kidini kusimamia ipasavyo huduma mbalimbali za kijamii.