TRA imetoa EFD 130 kwa taasisi za serikalini
Mamlaka ya mapato Tanzania TRA imetoa mashine 130 kwa makatibu wakuu 25 wa wizara zote za Jamhuri ya mungano wa Tanzania ili kufanikisha lengo la kukusanya shilingi Trilioni 15.5 kwa mwaka wa fedha 2016/2017.

