Watu 11 wafariki dunia kwa ajali ya gari Morogoro Watu 11 wamefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyotokea leo na kuhusisha magari matatu eneo la Veta Dakawa mkoani Morogoro. Read more about Watu 11 wafariki dunia kwa ajali ya gari Morogoro