COTWU yawataka waajiri kuzingatia sheria.
Chama cha wafanyakazi wa sekta ya mawasiliano na uchukuzi nchini Tanzania (COTWU) kimewataka waajiri kufanya kazi zao kwa kuzingatia sheria ili waweze kupunguza migogoro inayoonekana kuongezeka katika maeneo ya kazi.