Jaji Jacob Mwambegele kumaliza migogoro Morogoro

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, leo amemteua Jaji kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Jacob Mwambegele kufanya uchunguzi wa mgogoro wa mipaka ya Kijiji cha Mwabegere na vijiji jirani Mkoani Morogoro.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS