Shelisheli waje tu, tupo fiti-Serengeti Boys
Nahodha wa Timu ya Taifa ya vijana ya Tanzania chini ya umri wa miaka 17 Serengeti Boys, Issa Abdi amesema mashindano ya vijana yaliyofanyika nchini India mwezi uliopita, yamewajenga vizuri, baada ya kukutana na mataifa yaliyondelea kisoka.