Cavaliers yaigeuzia kibao Golden State
Fainali ya ligi ya kikapu nchini Marekani NBA, inazidi kuwa tamu baada ya Alfajiri ya leo LeBron James kufunga pointi 32 na Kyrie Irving kufunga points na kuipa Cleveland Cavaliers ushindi wa vikapu 120-90 dhidi ya Golden State Warriors.