Kessy aanza kuwaburuza wachezaji wenzake Yanga Beki mpya wa kulia wa Yanga, Hassan Kessy ameanza mazoezi rasmi na timu yake ya Yanga baada ya kujifua kivyake kwa muda wa takribani wiki mbili. Read more about Kessy aanza kuwaburuza wachezaji wenzake Yanga