Bunge lapitisha marekebisho ya sheria ya ununuzi

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Ununuzi wa Umma wa mwaka 2016 unaolenga kuongeza ufanisi wa mchakato wa ununuzi wa bidhaa na huduma zinazonunuliwa na serikali.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS