Tan Trade yatakiwa kuandaa Sabasaba mikoani Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania TanTrade imetakiwa kuandaa maonyesho ya biashara katika kila mkoa nchini ili kutoa fursa kwa wabunifu na wajasiriamali wa maeneo hayo kuonyesha kazi zao. Read more about Tan Trade yatakiwa kuandaa Sabasaba mikoani