Zaidi ya Bilioni1 kulipa wafanyakazi hewa Dodoma

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mh.Jordan Rugimbana amesema kuwa kwa mwezi wa Tatu na wa nne wamebaini kuwa shillingi bilioni Moja na millioni mia nane zimetumika kuwalipa wafanyakazi hewa jambo ambalo ni hasara kubwa sana kwa serikali.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS