Uganda kuuza hisa kwa nchi za EAC Waziri wa Nishati na Madini, madini Mhe. Sospeter Muhongo. Waziri wa Nishati na Madini, madini Mhe. Sospeter Muhongo, amesema kuwa Serikali ya Uganda itajenga kiwanda cha kuchakata mafuta ghafi kwenye eneo la Kabaale wilani Hoima nchini humo. Read more about Uganda kuuza hisa kwa nchi za EAC