Tennis walemavu Tanzania kushiriki Kenya Open Kocha wa Tennis walemavu, Riziki Salum Timu ya taifa ya walemavu ya tenisi inatarajia kuondoka Juni 17 mwaka huu kuelekea Nairobi nchini Kenya kushiriki mashindano ya wazi ya Tenisi walemavu. Read more about Tennis walemavu Tanzania kushiriki Kenya Open