Vijana achaneni na matumizi ya madawa ya kulevya

KIONGOZI wa Mbio za Mwenge kitaifa ALEX KAYUNI ameitaka jamii kuachana na matumizi ya Madawa ya Kulevya pamoja na ulevi uliopita kiasi kwani
kuendekeza vitendo hivyo kunaathiri maendeleo ya wananchi sambamba na kupunguza nguvu kazi ya taifa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS