TPSF na CESO zakubaliana kuwezesha sekta binafsi
Taasisi ya Sekta Binafsi nchini Tanzania – TPSF, leo imesaini makubaliano na kampuni ya Canada ijulikanayo kama CESO kwa ajili ya kujenga uwezo sekta binafsi juu ya namna ya kuendesha miradi ya biashara na uwekezaji kwa lengo la kukuza uchumi.