Ulimwengu aipa matumaini Yanga kufika mbali Afrika
Mshambuliaji wa klabu ya TP Mazembe ya DR Congo amesema wapinzani wao wa jana klabu ya Yanga bado ina nafasi ya kuingia nusu fainali ya kombe la shirikisho barani Afrika kwa kuwa kuna mechi ambazo endapo watashinda watatimiza lengo lao.