Mayanga arudi kuifundisha Mtibwa Sugar Klabu ya Mtibwa Sugar imeingia mkataba wa miaka miwili na Kocha Salum Mayanga kwa ajili ya kukinoa kikosi chake kama kocha mkuu kwa misimu ya 2016/17 na 2017/18. Read more about Mayanga arudi kuifundisha Mtibwa Sugar