Waziri Mkuu wa India Narendra Modi na Rais John Magufuli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli amesema Tanzania itashirikiana na nchi ya India katika shughuli mbalimbali za kimaendeleo na kukuza viwanda. Read more about Waziri Mkuu wa India Narendra Modi na Rais John Magufuli