Kazi ya ukuu wa wilaya haina umri- Samia

Makamu wa Rais Mama Samia Hassan Suluhu amesema kwamba wakuu wa wilaya walioteuliwa wengi ni vijana hivyo watu wasiwabeze kwa kuwa ukuu wa wilaya hauna umri bali kinachotakiwa ni wakuu hao kuuchapa kazi na kuleta maendeleo katika maeneo hayo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS