Msanii Belle 9 na Agnes Masogange Msanii wa RnB Abednego Damian ‘Belle 9’, amesema umaarufu wa mkali wa kunogesha video za wasanii, Agnes Gerald ‘Masogange’, umetokana na wimbo wake wa ‘Masogange’. Read more about Msanii Belle 9 na Agnes Masogange