Dogo Janja akiri kumuimba Young Dee kwenye My Life
Rapper Dogo Janja ambaye kwa sasa anazidi kupasua mawingu kwa ngoma yake ya 'My life remix', amekiri kuwa kuna stari kwenye wimbo huo kuna mstari alimuimba Young Dee kuhusu kutumia madawa ya kulevya.