India kuisaidia Tanzania kwa kuinua viwanda Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli amesema Tanzania itashirikiana na nchi ya India katika shuguli mbalimbali za kimaendeleo na kukuza viwanda. Read more about India kuisaidia Tanzania kwa kuinua viwanda