Hatukuwafukuza wagonjwa wa Sickle Cell Muhimbili
Wizara ya Afya, maendeleo ya jamii jinsia,wazee na watoto imewataka wagonjwa wa sickle Cell waliokuwa wakitibiwa katika Hosptali ya taifa Muhimbili kuhudhuria katika vituo vilivyopo kwenye hosptali za mikoa na wilaya kwa ajili ya matibabu.