Hafla ya tuzo za ligi kuu Tanzania bara Julai 17 Nembo [logo] ya ligi kuu ya soka Tanzania bara. Hafla ya kukabidhi tuzo mbalimbali za washindi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kwa msimu wa 2015/2016 itafanyika Julai 17 mwaka huu Read more about Hafla ya tuzo za ligi kuu Tanzania bara Julai 17