Mbunge ataka vyama visitishe siasa hadi uchaguzi
Mbunge wa jimbo la Korogwe Mjini Mary Chatanda CCM ameiambia serikali mjini Dodoma iangalie uwezekano wa ku sheria kama zilivyo baadhi ya nchi nyingine kwamba chama tawala kikishinda vyama vingine vitulie hadi uchaguzi mwingine.