Watanzania waelimishwe juu ya bidhaa za madini Chama cha wafanyabiashara wanawake wa madini nchini Tanzania TWC kimeiomba Wizara ya nishati na madini nchini kutoa elimu ya kutosha kwa wananchi juu ya aina za madini yanayopatikana nchini. Read more about Watanzania waelimishwe juu ya bidhaa za madini