Maboko ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji TACAIDS Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Leonard Lutegama Maboko kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS). Read more about Maboko ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji TACAIDS