Samia awaasa wanawake wajasiriamali kuungana
Makamu wa Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amehimiza wanawake wajasiriamali wa Tanzania Bara na Visiwani kujiunga na majukwaa ya kuwezesha wanawake kiuchumi yatakayoanzishwa kote nchini kwa ajili ya kupata elimu ya ujasiriamali.