Tenisi walemavu waelekea Kenya leo alfajiri
Baada ya kutembeza bakuli kuomba udhamini wa safari ya kwenda kushiriki michuano ya wazi ya Kenya timu ya taifa ya tenisi kwa walemavu ya Tanzania imeondoka leo alfajiri kuelekea Nairobi nchini Kenya baada ya kudhaminiwa.