Wafanyabiashara watakiwa kuchukua mashine za EFD
Dkt. Kijaji ameyuasema hayo Bungeni Dodoma kufuatia swali la Mbunge wa Viti Maalumu Neema Mgaya aliyetaka kujua changamoto za mtandao wakati wa matumizi ya ya EFD ambazo zinaweza kusababisha mtu ashinde kupata risiti.