27% ya wasichana wa shule za msingi wamepata mimba Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya watu UNFPA, limesema asilimia 27 ya wanafunzi wa kike nchini wanapata ujauzito kabla ya kuhitimu elimu ya shule ya msingi nchini Tanzania Read more about 27% ya wasichana wa shule za msingi wamepata mimba