Wawekezaji waache kukwepa kulipa kodi
Wafanyabiashara wawekezaji kutoka nje ya Tanzania wametakiwa kuacha tabia ya ukwepaji kulipa kodi kwa wakati kwani kwa kufanya hivyo kunalisababishia taifa hasara ya kodi ambayo kama ingekusanywa kwa wakati ingebadilisha maisha ya wananchi.

